KUmbuka: hii ni kwa watumiaji wa SIMU zote zinazo tumia ANDROID.
1.Unistall (futa) Whatsapp ya mwanzo kabisa(official one) then unaenda kwenye folder la whatapps una edit na kuwa OGwhatsapp
(sio lazima ku-edit hilo file kama huwezi)
2.Nenda kwenye playstore then download OGWhatsapp kama haujaikuta kuna link nimeiweka chini idownload manually uinstall
3.Register old number yako(namba yako yako uliyokuwa unaitumia mwanzo) kwa OGwhatsapp ,baada ya kumaliza njoo step ya 4
4.Install Official Whatsapp(ile uliyo-unistall) then register na hiyo namba ya pili unayotaka kutumia kwenye device moja
Hapo utakuwa ushamaliza na very easy,sisi tume install na tunaitumia namba mbili kwenye simu moja
Download OGwhatsapp hapa kama utaikosa Playstore http://www.mediafire.com/download/r3qjgaoosykbwdk/OGWhatsApp+v2.11.256.apk
