Saturday, June 14, 2014

Jinsi ya kugundua simu feki za samsung

Ingiza code hii *#0*# kisha piga. Utapata menyu ifuatayo:-
Click image for larger version. 

Name: Phone-Secret-Code.png 
Views: 0 
Size: 39.0 KB 
ID: 152366
Bonyeza tab ya red na screen yako itabadilika rangi na kuwa nyekundu.
ukibonyeza tab ya green screen yako itabadilika kuwa kijani vile vile.
ukibonyeza tab ya vibrating simu yako ita vibrate n.k
Hakikisha tabs zote zina react kuendana na maelezo ya tab husika.
Command mojawapo ikifeli, simu hiyo siyo samsung original.
(tumia keypad kwa simu zisizo na touch screen)

Code za ziada zinazotumika kwenye simu original za samsung.

*#1234# (View SW Version PDA, CSC, MODEM)
*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode)
*#0228# (ADC Reading)
*#32489# (Ciphering Info)
*#232337# (Bluetooth Address)
*#232331# (Bluetooth Test Mode)

N:B code hizi zinafanya kazi kwa stock/original samsung os tu.

No comments:

Post a Comment